
Kenya inahimiza kuimarisha ushirikiano kati ya Africa na Asia katika maendeleo ya vijijini
Kenya ilitoa wito kwa ushirikiano wa karibu zaidi kati ya nchi za Afrika na Asia ili kuharakisha mabadiliko ya vijijini, kuboresha usalama wa chakula, na kuwezesha uhamishaji wa teknolojia kwa kuzingatia changamoto zinazoendelea za kiuchumi na za tabianchi duniani.













